Je, Media za Bongo zimeshindwa kupambana na Diamond?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Mi sielewi hizi media zetu kubwa ambazo zimeonekana kususia kupiga nyimbo za WCB, kama Diamond ndio kawakosea ni kwanini wasimpe adhabu yeye? Hawajui kama wanawakomoa kina Mbosso,Lavalava na wengine bila sababu za msingi? Mi nnachoona hapa ni kwamba wameona kwa level aliyofikia Diamond kwasasa hawawezi kumkwamisha kwa kutopiga nyimbo zake, hategemei promo ya eatv,efm,clouds fm pekee maana tayari ana die hard fans wa kutosha na TV/redio za kimataifa zinamtambua, so walichoona kinawezekana kwao ni kuwabana na wasanii wake ambao bado hawajawa na fanbase ya kutosha, kwakuwa wanajua kuzidi kung'aa kwa hawa wasanii ndivyo akaunti ya Mond inavyozidi kunona. Hii imenikumbusha utotoni kama kwenye ugomvi umepigana na kakamtu kakudunda unamvizia mdogo wake, siku ukimbahatisha unatoa ndonga za kutosha kumaliza hasira za kipigo cha kaka.
 
SIKU HIZI MZIKI UNAUZIKA MNO MITANDAONI KULIKO KWENYE RADIO.PAGES ZA INSTAGRAM NA FACEBOOK ZINAWEZA FANYA MSANII KUENDESHA MAISHA YAKE YA KIMUZIKI VEMA.
WATU WENGI WA MEDIA MARA NYINGI NI WANAFIKI MNO.WANATAKA WANYENYEKEWE ILI WAPIGE NYIMBO ZA MSANII
 
Hilo jaribio la kumshusha Mond na kutokupiga nyimbo za wcb katika media zao Mond hapa kapata fursa ya kuanzisha Wasafi TV na wasafi FM. Hilo kwake ni fursa.
Ingepeneza sana Huu mgogoro ukamalizwa kwa kutumia busara tu.
 
Chris Brown ategemei Radio wala TV ya mtu, lakini waimba RnB wote hakuna anayemfikia kwa Platnumz kwa sasa. Watu wanaongea ye anapiga kazi tu na kila mwezi anatoa ngoma. Muziki sasa hivi ni Fan base tu, hayo mambo ya Radio Tanzania kususia Sikinde yalikuwa enzi za Mwalimu.
 
Hilo jaribio la kumshusha Mond na kutokupiga nyimbo za wcb katika media zao Mond hapa kapata fursa ya kuanzisha Wasafi TV na wasafi FM. Hilo kwake ni fursa.
Ingepeneza sana Huu mgogoro ukamalizwa kwa kutumia busara tu.
Hiyo idea aifanyie kazi fasta tuko nyuma yake
 
Pumbavu huwezi kumshusha mtu mwenye akili...diamond kanyimwa elimu ya darasani tu...yule fala angesomaaaaaaaaaaaa *****....baadhi ya misemo yao:anajua kuimba lakini sura mbaya,anajua kuimba lips denda lakini hajui kingereza,hajui kuimba anafanya ujanja ujanja lakini anajua kuongea kingereza,anategemea promo,anategemea collabo...pumbavu huwezi kumuelewa mwalimu unaemchukia..wanamziki inabidi wakae chini wajifunze kupitia simba....hao watu wa media watapoteana soon ngoja wasafi tv na radio ianze rasmi.....kama naona vile SIMBA anavyompa wema kipindi mda ule ule wa shilawadu.....[HASHTAG]#self[/HASHTAG] made.
 
Au ndio maana ya ile 'save the date'?[emoji1]
 
Mi sielewi hizi media zetu kubwa ambazo zimeonekana kususia kupiga nyimbo za WCB, kama Diamond ndio kawakosea ni kwanini wasimpe adhabu yeye? Hawajui kama wanawakomoa kina Mbosso,Lavalava na wengine bila sababu za msingi? Mi nnachoona hapa ni kwamba wameona kwa level aliyofikia Diamond kwasasa hawawezi kumkwamisha kwa kutopiga nyimbo zake, hategemei promo ya eatv,efm,clouds fm pekee maana tayari ana die hard fans wa kutosha na TV/redio za kimataifa zinamtambua, so walichoona kinawezekana kwao ni kuwabana na wasanii wake ambao bado hawajawa na fanbase ya kutosha, kwakuwa wanajua kuzidi kung'aa kwa hawa wasanii ndivyo akaunti ya Mond inavyozidi kunona. Hii imenikumbusha utotoni kama kwenye ugomvi umepigana na kakamtu kakudunda unamvizia mdogo wake, siku ukimbahatisha unatoa ndonga za kutosha kumaliza hasira za kipigo cha kaka.
Washachelewa sana,CHUKI zimewajaa kwa unyonyaji wao
Mtu mzur asiyenadharau kama Diamond ukimchukia jua una lako jambo.Ubaya wa Diamond ni kwamba hanaga msalie katika mambo ya mkwanja na hapo ndipo chuki inapozaliwa.

Ila ameanza kuwaeza zaid kwa WCB TV/RADIO WATAISOMA NAMBAAAAAA NA CHUKI ZAO
 
Pumbavu huwezi kumshusha mtu mwenye akili...diamond kanyimwa elimu ya darasani tu...yule fala angesomaaaaaaaaaaaa *****....baadhi ya misemo yao:anajua kuimba lakini sura mbaya,anajua kuimba lips denda lakini hajui kingereza,hajui kuimba anafanya ujanja ujanja lakini anajua kuongea kingereza,anategemea promo,anategemea collabo...pumbavu huwezi kumuelewa mwalimu unaemchukia..wanamziki inabidi wakae chini wajifunze kupitia simba....hao watu wa media watapoteana soon ngoja wasafi tv na radio ianze rasmi.....kama naona vile SIMBA anavyompa wema kipindi mda ule ule wa shilawadu.....[HASHTAG]#self[/HASHTAG] made.
Hapo chuki zao zitakua mara8.maana atakua kawamaliza kabisaaaaa janja janja town itakua imekata
 
Makelele ya nini? Diamond si wa kwanza kubaniwa, ameanzisha TV na Radio na ana base Kubwa kama mnavyosema why bado mnalalamika?

Media ni bizness,wanapiga nyimbo zako kukupa promo in return wakikuita kwenye show uperform ukawazingua na wao wanakuzingua tu,Sugu,Jide, Nature,inspector, zedudu etc wamepitia hizo changamoto,dimond sio wa kwanza akaze tu kama wenzake,kitendo cha kuendelea kupiga makelele kinaonyesha team mond hamjiamini.
 
Pumbavu huwezi kumshusha mtu mwenye akili...diamond kanyimwa elimu ya darasani tu...yule fala angesomaaaaaaaaaaaa *****....baadhi ya misemo yao:anajua kuimba lakini sura mbaya,anajua kuimba lips denda lakini hajui kingereza,hajui kuimba anafanya ujanja ujanja lakini anajua kuongea kingereza,anategemea promo,anategemea collabo...pumbavu huwezi kumuelewa mwalimu unaemchukia..wanamziki inabidi wakae chini wajifunze kupitia simba....hao watu wa media watapoteana soon ngoja wasafi tv na radio ianze rasmi.....kama naona vile SIMBA anavyompa wema kipindi mda ule ule wa shilawadu.....[HASHTAG]#self[/HASHTAG] made.
Hu.hu hu.hu.hu.hu hu.ataua bendi
 
Ita kama wewe ni mkubwa huwezi kuwa juu ya media ,media hasa tv na radio zina mchango mkubwa katika kumpromote msanii zaidi ya chochote
 
aisee wanaomsema diamond bwana kuna kipindi walisema darasa kwa iĺe nyimbo ya mziki atamfunika chibu ......watu tukasema kumaintain consistency ni kazi wakajua utani ......baada ya ile mziki tu nyimbo aliyotoa .... . utanitoa roho ...ikabuma jamaa akachanganyikiwa tena haraka zake akatoa hasara roho....stori ikaishia hapo...
 
Back
Top Bottom