Uchaguzi 2020 Je, Membe atapunguza kura za CCM au za CHADEMA?

Sawa zuri la kiona mbali.

Kwa kiasi kikubwa ACT watapunguza kura za CCM na kidogo CDM. Kusini watatoa adhabu kwa ccm na kumpa Membe. Visiwani wataipa act ya Maalim kama kawaida yao na uraisi wa JMT kura zitagawanyika kwa watu watatu TAL, BKM, na JPM. Sehemu zilizobakia pambano ni kati ya TAL na JPM
 
Dah pote kama vile umepatia .ila namba 6 inabidi kuwashauri NEC wa ache SONGOMBINGO ZAO.
 
Hapa ni kujua nani ataongoza kambi rasmi ya upinzani na kuwa chama kikuu ndicho wanashindania,sio kuounguza kura za magu
 

Mchezo upo hapo. Lakini, vituo hewa vya havitakuwa na sahini za mawakala wa Chadema. Ila, Tume imeishasema kwamba siyo lazima kumpa wakala nakala ya ripoti kwenye kituo chake. Kitakacho tokea ni kwamba, wakati Chadema wanabishana na Tume , Magufuli ataapishwa chapchap. Tume ya uchaguzi hawezi kuwa huru sababu ya mfumo. The process always determines the outcome.
 
Kura za CCM zitaongeka maradufu zaidi ya 2015 kutokana na;-
1.Hakuna Mgombea wa upinzani mwenye nguvu kama Lowassa 2015
2.Mwaka huu wapinzani hawapo organized na sera zao ni weak sana ukilinganisha na za CCM
 
Act wanapoteza muda kwenye Urais, wanafit kwenye udiwani
 
Kusini na Zanzibar kura za ccm lazima zitapunguzwa tu

Fikiria vizuri, Membe anaenda kubeba kura zote alizopata Lowasa kutoka kwa wanazi wa CUF, zile kura alizopata Lowasa kutoka Pemba na kusini zitachukuliwa na Membe, anayeathirika hapa ni Lissu.
 
..Msikilizeni Bwege hapa.

..Huyu anakwenda kuisambaratisha CCM mikoa ya kusini.

 
Mwaka 2015 ukawa walipunguza kura za Ccm,sio Chadema. Maana vyama vinne vilidunduliza kura. Ila kwenye ruzuku Chadema waliwalalia wenzao.
 
Dunderhead unahangaika kweli na vi mada uchwara kwa elfu Saba wenzako huko wanalipwa milioni huna habari we Pimbi, haya nakupa dili hilo la kijani kibichi
 
Wakati nikiwa nasoma chuo mwalimu wangu huwa alikuwa akiniambia hakikisha umeelewa kabla ya mtihani maana utapoteza muda mwingi kuelewa baada ya mtihani

Kwahicki ulichokiandika nmekielewa ili kisinipe shida baada ya mshindi kutangazwaa

 
Watagawana za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…