Je, mfalme Haile Selasie wa Ethiopia ni mtoto wa mfalme Daudi wa kwenye ukoo wa Yesu?

Ndugu Mimi kwa maelezo niliyokuwa nayo kuwa huyu mfalme akuuliwa alifanikiwa kukimbia kwenda nchi ya zimbambe ,Mugabe alikataa kumkabizi kwa serikali ya Ethiopia kwa sababu wakati zimbambe wanapata Uhuru wanajeshi wa zimbambe walienda kupata mafunzo ya kijeshi yaliyokuwa yanadhaminiwa na serikali ya Ethiopia. Sijajua huyu mfalme yupo mpaka Leo au kafarika uko Zimbabwe.
 
Huyu atakuwa anamzungumzia Menelek I, ndio anamchanganya na haile Selassie
 

Hv aliyekuwa anakupa hizi habari walikuwa ameshapata kitu kidogo au walikuwa na arosto?
 

Hv Suleman aliishi Ethiopia au Israel?
 
Kuhusu Suleiman na Queen of Sheba Ni Kweli, na walizaa mtoto, lakini huyo mtoto Hana uhusiano wowote na Haire Selasie, Haire Hana uhusiano wowote na kizazi cha kifalme cha Enzi ya biblia!

Toa ushahid
 
Kwani mfalme Daudi alikuwa anavuta ndumu? coz me naona hii jamii ya marasta ambao wanasema eti wooote ni wa Ethiopia hata km ni mbongo. ni full kugonga ndumu tuu hadi hadharani
 
Mkuu yani hujui hata King Solomon aliishi wapi hafu unadai ushahidi kwa post yangu ya juu? Nlijua labda unazo information zozote!

Sasa Mkuu mtu kusema hajui ni dhambi? Labda mm mjinga nisie jua ila nataka kujuzwa kwa ushahid, hebu nijuze bac
 
katika vitu navyokubaliana na jamii ya rastafarian ni utambulisho wa Africa katika bible ikiwemo mountain zion ambapo Mussa alisimama nakuiona nchi ya ahadi caanan ambayo inamaziwa na asali(Africa)Pia eden ambayo ilikuwa na kila kitu ukitazama vizuri nikweli Adam na Eve walitokea Africa
 
Yaan kama unajua Menelik na Selassie walikua wafalme wa Ethiopia DNA ya nn?au mnadhan ufalme unagombewa,
 

Mfalme daudi? Au mfalme Suleiman ndio alizaa na huyo malkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…