Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi.
Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani.
Tumeona na kushuhudia wazi wana CCM wakianza kuumizana na imefikia kuuana wao kwa wao. Vijana wa mjini tunasema mbwa amekula mbwa.
Ndugai alionya akanyamazishwa.
Mpango akaomba kustaafu.
Majaliwa akafungwa speed gavana ya kuwekewa Biteko kama naibu waziri mkuu.
Gwajima akauwasha moto.
Pole pole anachochea moto.
Je, moto utazimwa? Au watakaozima watatumia petroli na gesi badala ya fire extinguisher?
Hakika kupitia no reform no election CHADEMA imeshinda zaidi ya kushinda na ulimwengu umetambua.