Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104.
Serikali watumie to force account kupunguza kupigwa maana serikalini laptop ya mil 1.5 inanunuliwa hata kwa mil 4.
Huko Ulaya wanafanyeje kukwepa hii gharama serikali wanaingia. Nchi inatumia hela nyingi sehemu ambazo sio sahihi kwa sbb ya manunuzi siyo realistic