Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104.

Serikali watumie to force account kupunguza kupigwa maana serikalini laptop ya mil 1.5 inanunuliwa hata kwa mil 4.

Huko Ulaya wanafanyeje kukwepa hii gharama serikali wanaingia. Nchi inatumia hela nyingi sehemu ambazo sio sahihi kwa sbb ya manunuzi siyo realistic
 
Sasa huo mfumo unahusikaje wakati wanatangaza tender watu wana bid, au unataka kusema mfumo unaongeza bei mkuu.
 
Pia usisahau kusoma🐒

 
Mfumo wa Taneps kwa uelewa wangu mdogo sioni kama una Shida. Mchakato wowote wa manunuzi unaanza na budget na mpango wa manunuzi wa mwaka husika. Hivyo kama kwenye mpango wa manunuzi Kuna item ya estimated budget 20m unaweza je kununua 100m? Hiyo additional 80m utatoa wapi?

Nimebaki na maswali labda mimi sijaelewa. Maana kama estimate 20m na mzabuni wa bei ya chini Ana 100m bado Kuna room ya negotiation ili kufika kwenye market price.
 
Wale wanachokifanya wanacheki na suppliers kama kitu kinauzwa Million 2 wanakuambia andika nne mbili za kwake kwa hiyo usishangae items za 40M zinakanunuliwa kwa 80M hii nchi ukijifanya mpole ,mzalendo,mlokole,mfia dini unakuafa masikini.

Maana wanasiasa wanaifaidi sana hii nchi na kujifanya majukwaani kwamba ni wazallendo,Afisa manunuzi analipwa 2M per monthy Mbunge wa STD 7 analipwa 12M na fursa kibao, mawaziri wanapishana na V8 wewe PMU unazunguka na ki IST cha mkopo, ndio maana wanaamua nao kupiga ili nao waendeshe hayo ma V8
 
Back
Top Bottom