matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system
1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging.
2: Ilibidi waomb4 msaada US wa makombora ya kwa ajili ya kujazia kwenye Iron dome maana waliokuwa nayo waliona yanaisha.
3: Kitendo cha marekani juzi kupeleka mifumo yake ya ulinzi kuongezea nguvu Iron dome huko Israel.
4: Je, siku zote wamejiandaa kupambana na taasisi dhaifu kama Hamas ambao viatarishi vyao ni hafifu ukilinganisha na Iran na Vibaraka wake Hesbullah wenye uwezo mkubwa kuliko hamas.
Je, ni kweli Israeli hii ni toafuti na ile ya miaka ya Sabini ambayo ilikuwa na uwezo wa kuwapa vichapo waarabu wote kwa siku moja tu. Au wanafanya makusudi kwa njama na US ili wapate kisingizio cha kuifuta Iran maana ndio adui mkuu mwenye watoto maadui wa Israel.
Ni hayo tu.