Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel ilikuwa haina nia ya kupigana na hamas bali inachofanya ni kujilinda dhidi ya mashambulizi ya kuvizia ya hamas kwa kuwaondolea uwezo wa kijeshiWaisrael hawana lolote. Jeshi la nchi linapigana na kikundi Cha wahuni wachache Leo Ni wiki ya tatu, Sana Sana wanaua raia wasio na hatia.
Imagine Israel ingepigana na jeshi la nchi Kama iran au hata Somalia ambao Wana maji, mafuta na chakula, si Israel ingechakazwa ndani ya wikimoja, au imagine Israel isingesaidiwa na marekani si wangekosa sehemu ya kuzikia!
Huo mfumo wanadanganya wajinga tu hauna lolote, Israel ana zuia media zisichukue sehemu ambaxo Hamasi anazo piga ungeidharau sana hio Iron dome.
View: https://youtu.be/dxYFlUteiIE?si=Az7XFhZ4uP499fHV
Taifa teule linachekesha sana kumbe pia wizi 😄
Aibu hi wakristo mtaificha wapi, taifa teule lenu ni mashoga na wizi pia 😄
Ni kweli Israel hii ni dhaif ndiyo maana mpaka sasa waisrael waliokufa ni wengi kuliko wapalestina, na israel imegeuzwa magofu na hamas wakati gaza iko vilevile hakuna hata kombora moja la israel lililofanikuwa kutua au kulipuka gaza maana yote mifumo ya anga ya hamas imeyadaka na kuyarudisha israel. Mpaka sasa Israel inalialia tu wakati Palestine incheeka kwa dhereu! Mpaka sasa kutokana na kichapo ilichopewa Israel imeomba Hamas wasitishe vita.Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system
1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging.
2: Ilibidi waomb4 msaada US wa makombora ya kwa ajili ya kujazia kwenye Iron dome maana waliokuwa nayo waliona yanaisha.
3: Kitendo cha marekani juzi kupeleka mifumo yake ya ulinzi kuongezea nguvu Iron dome huko Israel.
4: Je siku zote wamejiandaa kupambana na taasisi dhaifu kama Hamas ambao viatarishi vyao ni hafifu ukilinganisha na Iran na Vibaraka wake Hesbullah wenye uwezo mkubwa kuliko hamas.
Je ni kweli Israeli hii ni toafuti na ile ya miaka ya Sabini ambayo ilikuwa na uwezo wa kuwapa vichapo waarabu wote kwa siku moja tu. Au wanafanya makusudi kwa njama na US ili wapate kisingizio cha kuifuta Iran maana ndio adui mkuu mwenye watoto maadui wa Israel.
Ni hayo tu.
Iron Dome inavyopangua makombora hivi halafu Mtu anasema dhaifu?!
View: https://twitter.com/visegrad24/status/1717634801782464582?t=Gvqgbre8Sa6fgPQaJhFUDw&s=19
Kwamba Iron Dome ilichoka ikabidi ifanyiwe 'recharging' (unamaanisha reloading). Ni mfumo gani duniani hauna reloading?Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system
1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging.
Sasa mfumo unaodai hauna uwezo inakuwaje tena wanauombea makombora ya kujazia (interceptors). Hayo makombora yatarushwa na mfumo gani?2: Ilibidi waomb4 msaada US wa makombora ya kwa ajili ya kujazia kwenye Iron dome maana waliokuwa nayo waliona yanaisha.
Hiyo ni deterrence. Hujaona kambi za Marekani pale Iraq zinashambuliwa na suicide drones?3: Kitendo cha marekani juzi kupeleka mifumo yake ya ulinzi kuongezea nguvu Iron dome huko Israel.
Iran haina uwezo wa kupigana na Israel ikiwa yenyewe. Walikuwepo Jordan, Syria na Egypt kwa pamoja wakashindwa. Iran analazimika kutumia magaidi wasiotofautishwa na raia. Ndio maana Hamas wana command center yao chini ya hospitali kubwa zaidi Gaza, ili ikipigwa na Israel wajilize4: Je siku zote wamejiandaa kupambana na taasisi dhaifu kama Hamas ambao viatarishi vyao ni hafifu ukilinganisha na Iran na Vibaraka wake Hesbullah wenye uwezo mkubwa kuliko hamas.
Kuna mtu anavimbishwa kichwa ila naye sio mjinga. Huu ushabiki upo mtandaoni tu, Ayatollah anajua fika akianzisha vita na Israel ndio mwisho wake ila anawa-pump mashabiki ili asionekane myonge. Ground invasion ya Gaza Waarabu wanadai imeanza takribani lisaa lililopita, ambavyo Israel inadai hiyo ni ground clearance kuondoka landmines, road blocks na vifusi vya majengo waliyolipua.Je ni kweli Israeli hii ni toafuti na ile ya miaka ya Sabini ambayo ilikuwa na uwezo wa kuwapa vichapo waarabu wote kwa siku moja tu. Au wanafanya makusudi kwa njama na US ili wapate kisingizio cha kuifuta Iran maana ndio adui mkuu mwenye watoto maadui wa Israel.
Ni hayo tu.
Iron Dome inavyopangua makombora hivi halafu Mtu anasema dhaifu?!
View: https://twitter.com/visegrad24/status/1717634801782464582?t=Gvqgbre8Sa6fgPQaJhFUDw&s=19
Kwahiyo roketi Kwa Kiswahili ni nini?!Tofautisha kombora na roketi
Huo mfumo wanadanganya wajinga tu hauna lolote, Israel ana zuia media zisichukue sehemu ambaxo Hamasi anazo piga ungeidharau sana hio Iron dome.
View: https://youtu.be/dxYFlUteiIE?si=Az7XFhZ4uP499fHV
Taifa teule linachekesha sana kumbe pia wizi 😄
Aibu hi wakristo mtaificha wapi, taifa teule lenu ni mashoga na wizi pia 😄
Ni roketiKwahiyo roketi Kwa Kiswahili ni nini?!