Je, mgeni wa Azam anayetangazwa ni nani?

Na wameonesha watangazaji na wachambuzi watakaofanya kazi kipindi hicho,ila sijaona mtangazaji wala mchambuzi mwanamke mpaka sasa
 
Jamaa walianza vizuri sana ila baada ya kuendekeza udini na usiisiiemu kwisha habari Yao nawachukia sana Nilikua nawafuatilua sana huko nyuma Kama media mbadala ya huko home lakini nao wamegeuka tiibiisiisiiemu
 
Unaripot ukitokea makao makuu TEC au Vatican kabsa?
 
Jamaa walianza vizuri sana ila baada ya kuendekeza udini na usiisiiemu kwisha habari Yao nawachukia sana Nilikua nawafuatilua sana huko nyuma Kama media mbadala ya huko home lakini nao wamegeuka tiibiisiisiiemu
Azam hawana udini wowote ule labda kama huna taarifa zozote kuhusu wao
 
Jamaa walianza vizuri sana ila baada ya kuendekeza udini na usiisiiemu kwisha habari Yao nawachukia sana Nilikua nawafuatilua sana huko nyuma Kama media mbadala ya huko home lakini nao wamegeuka tiibiisiisiiemu
Nyinyi makafiri mbona wabinafsi sana?
 
Nyinyi makafiri mbona wabinafsi sana?
Duh kuna watu wajinga sana hapa Duniani. Yani Kwa akili zako unaaamini kabisa unachohubiriwa makanisani na misikitini mpka unaita mwenzako kafiri 😄😄😄 Kwa taarifa yako ukishakufa habari yako inaishia hapo hakuna cha pepo Wala papa. Mnadanganywa na mabeberu ili mnyonywe asee rest in peace
 
Back
Top Bottom