Je, Mgombea Urais wa CCM ashitakiwe kwa kuwa na kusudio la Kuhujumu Uchumi?

Je, Mgombea Urais wa CCM ashitakiwe kwa kuwa na kusudio la Kuhujumu Uchumi?

Ambacho hamtambua J.P.M ni kama msimamizi tu.

Endapo Mbunge utakuja bungeni kusinzia bila kuonesha kero za wananchi wake,tufanyaje?
au mbunge unapinga pinga bajeti bila sababu za msingi.

sometimes,Inabidi mtambue wajibu wa wabunge na mawaziri katika idara zao.
Yeye siku zote hutoa pesa papo kwa papo ila kama mbunge wa eneo hilo ni wa upinzani husema wazi kuwa hatatoa pesa, shauri yenu na mbunge wenu!
 
Back
Top Bottom