Je Mh. Halima Mdee ameshaolewa?

Tumeishiwa ya kujadili hadi tuanze kujadili maisha ya watu?
Huu ni umbea, hii ni aibu.
Uchumi mbovu, elimu marehemu, maradhi na amasikini bado vinatushinda, Je ya watu tutayaweza?
Kumbe Buji buji nawe mnafiki mbona nawe unajadili watu hapa hapa mtandaoni au sababu ni Halima Mdee,yeye si kiongozi tukijua lifestyle yake ubaya uko wapi?
 
Tumeishiwa ya kujadili hadi tuanze kujadili maisha ya watu?
Huu ni umbea, hii ni aibu.
Uchumi mbovu, elimu marehemu, maradhi na amasikini bado vinatushinda, Je ya watu tutayaweza?
Calm down binti,hili ni jukwaa la celebrities and other famous people!!! Its all about gossip,elewa basi ww bashite!
 
Ye mwenyewe anatafuta mke Sasa sijui wewe utamuoaje,
 
Unataka kutuma posa au?
 
Hahaaaa..., huyo jamaa anatafuta kama za Harmorappa kwa Wema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…