Tetesi: Je, mifumo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inachezewa?

Angeishia hapo, ingeeleweka ila ameendelea kuweka lawama kwamba watu wanatafuta namna ya kupiga wakati mtandao uko chini kitu ambacho si sahihi.
Unafanyakazi hapo Bandarini?
 
Habari Watanzania,

Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.

Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.

Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.

Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.

Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.

Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.

Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.

Sisi wateja tunapata changamoto sana.

SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!

Asante.
Watakuja kujibu.
 
Hiyo ni hali ya kawaida na sio mfumo huo tu, ni hali ya server kuwa down tu.

Una uhakika? Kama ni challenge lazima iwe communicated au kama kuna regular updates au kama ni mechanism ya server ikiwa ina create backup pia lazima ifahamike! Ni jambo sensitive ambalo halihitaji tupige ramli ila kua na taarifa sahihi.

Mfano: miaka ya mwanzo ya matumizi ya ATM ilikua kila saa moja jioni atm ziko down na ilikua inafahamika sababu ni ipi.
 
Habari Watanzania,

Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.

Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.

Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.

Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.

Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.

Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.

Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.

Sisi wateja tunapata changamoto sana.

SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!

Asante.
Naona walitoa tangazo la matengenezo ya mifumo yao kama nyara hii ilivyojieleza
tangazo la tra.jpg
tangazo la tra.jpg
 
sidhani kama ni hivyo ndungu mzalendo kwanini usiende vyombo husika ukawapa data hizi maana unaushahidi kama maelezo uliyoyasema? mifumo nayo inahitaji service ili kuangalia wapi pameharibika au pana shida sioni tatizo na ikiwa walishatoa tangazo. hata tanesco nao naona wametoa tangazo sasa sijui nayo utasema nini. sasa hivi hata polisi unalipia control number kama mfumo unachangamoto utalipia baadaye lakini siyo kwamba unalipia manual hakuna kitu kama hicho
tanesco.jpg

Wakisha zima wanalipia manual, alafu hawapeleki malipo kama yalivyolipwa bank system ikirejea, Mh. Waziri Mkuu alilisema sana hili na akalikemea kwa ukali, kama miezi 3 hv iliyopita, naomba serikali ikiwa kuna mtu au kikundi cha watu wanafanya huu uhuni na wizi mbaya sana iwakamate kuwafungulia mashtaka na kuwanyonga kabisa hadi wafe. Huu ni uhujumu uchumi na ufisadi mbaya sana sana kuliko wowote ule.
 
sidhani kama ni hivyo ndungu mzalendo kwanini usiende vyombo husika ukawapa data hizi maana unaushahidi kama maelezo uliyoyasema? mifumo nayo inahitaji service ili kuangalia wapi pameharibika au pana shida sioni tatizo na ikiwa walishatoa tangazo. hata tanesco nao naona wametoa tangazo sasa sijui nayo utasema nini. sasa hivi hata polisi unalipia control number kama mfumo unachangamoto utalipia baadaye lakini siyo kwamba unalipia manual hakuna kitu kama hicho View attachment 2353625
Wakisha zima wanalipia manual, alafu hawapeleki malipo kama yalivyolipwa bank system ikirejea, Mh. Waziri Mkuu alilisema sana hili na akalikemea kwa ukali, kama miezi 3 hv iliyopita, naomba serikali ikiwa kuna mtu au kikundi cha watu wanafanya huu uhuni na wizi mbaya sana iwakamate kuwafungulia mashtaka na kuwanyonga kabisa hadi wafe. Huu ni uhujumu uchumi na ufisadi mbaya sana sana kuliko wowote ule.
 
Kama kuna tatizo la mtandao hakuna charges zozote zitalipwa kutokana na delay hiyo. Uliza kwanza sio unajikuta mjuaji na hujui kitu. Always system inarekebishwa kuondoa fines na charges ambazo zimesababishwa na mtandao huo.
Wewe unaandika kwa kukisia, Mimi nimeandika kilichonitokea. Mtandao ulikua chini nikachelewa kupata control number Mwenyewe mwishowe malipo yakachelewa nikapigwa fine.

Wacha kubisha vitu usivyovijua
 
Habari Watanzania,

Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.

Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.

Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.

Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.

Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.

Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.

Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.

Sisi wateja tunapata changamoto sana.

SWALI LA MSINGI NI HILI;

Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?

Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?

Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!

Asante.
Mmh! Hapo tushapigwa!!!
 
Nimeyasoma hayo maswali yako matatu nikamkumbuka yule mfanyabiashara wakati ule wa Magufuli waliyesema alikuwa akiingiza zaidi ya milioni 200 kwa saa kama sijakosea.

Hiki ulichoandika hapa ndio muendelezo wa hiyo biashara, tena wakati huu ambao wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao, sijui tutaponea wapi.
 
Back
Top Bottom