macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kasema ni tatizo sugu la muda mrefu. lInatokea mara kwa mara. Hili tangazo linajibu namna gani hoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema ni tatizo sugu la muda mrefu. lInatokea mara kwa mara. Hili tangazo linajibu namna gani hoja?
Unafanyakazi hapo Bandarini?Angeishia hapo, ingeeleweka ila ameendelea kuweka lawama kwamba watu wanatafuta namna ya kupiga wakati mtandao uko chini kitu ambacho si sahihi.
Watakuja kujibu.Habari Watanzania,
Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.
Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.
Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.
Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.
Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.
Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.
Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.
Sisi wateja tunapata changamoto sana.
SWALI LA MSINGI NI HILI;
Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?
Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?
Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!
Asante.
Hiyo ni hali ya kawaida na sio mfumo huo tu, ni hali ya server kuwa down tu.
Naona walitoa tangazo la matengenezo ya mifumo yao kama nyara hii ilivyojielezaHabari Watanzania,
Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana.
Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo.
Jambo lenyewe ni hili:
Mfumo wa TRA, hasa TANCIS ambao ndio unaotumiwa na Idara ya Forodha (Customs) kukusanya Mapato ya bidhaa zinazoingizwa nchini, umekuwa ukifanya kazi either nusu, au kuzima kabisa kwa muda.
Mfano tangu jana tarehe 09/09/2022, saa tano (saa 5:00 usiku) usiku, mpaka sasa muda huu saa 12 jioni tarehe 10/09/2022, mfumo huo wa TANCIS umesimama kutoa Control Number za kulipia ushuru/maduhuri ya serikali.
Ifahamike kwamba kusimama kwa mfumo kutoa hizo Control Number, hakuna malipo yanayoweza kufanyika.
Nisingeandika jambo zito kama hili kama lingekuwa limejitokeza mara moja.
Wanaoweza kufuatilia zaidi, wajiridhishe.
Hii hutokea karibu kila wiki, inaweza kuwa siku moja, au masaa kadhaa ya siku flani.
Sisi wateja tunapata changamoto sana.
SWALI LA MSINGI NI HILI;
Je, wakati mfumo unasinzia kufanya kazi kitu flani, ni nini huwa kinaendelea huko ndani?
Je, baada ya mfumo kurejea, tuna uhakika gani kwamba malipo kadhaa hayajachezewa?
Na kwa nini itokee kila wiki, au mara mbili kwa mwezi? Ni kina nani wanufaika wa hili jambo zito hivi?!
Asante.
Wakisha zima wanalipia manual, alafu hawapeleki malipo kama yalivyolipwa bank system ikirejea, Mh. Waziri Mkuu alilisema sana hili na akalikemea kwa ukali, kama miezi 3 hv iliyopita, naomba serikali ikiwa kuna mtu au kikundi cha watu wanafanya huu uhuni na wizi mbaya sana iwakamate kuwafungulia mashtaka na kuwanyonga kabisa hadi wafe. Huu ni uhujumu uchumi na ufisadi mbaya sana sana kuliko wowote ule.

Wewe unaandika kwa kukisia, Mimi nimeandika kilichonitokea. Mtandao ulikua chini nikachelewa kupata control number Mwenyewe mwishowe malipo yakachelewa nikapigwa fine.Kama kuna tatizo la mtandao hakuna charges zozote zitalipwa kutokana na delay hiyo. Uliza kwanza sio unajikuta mjuaji na hujui kitu. Always system inarekebishwa kuondoa fines na charges ambazo zimesababishwa na mtandao huo.
Mmh! Hapo tushapigwa!!!Habari Watanzania,