Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
ccm walishawai kuaminika kwenye lipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya uliyoandika hapa ndiyo theme ya hii mada au unakururupuka tu kama panya na mitaputapu yako kichwani unakuja hapa kutuharibia uzi?Makonda namuona kama mtu sahihi sana kuliko watangulizi wake tukiondoa Polepole, kazi hii anaiweza ndiyo maana Chadema wanamgwaya na hawakulitegemea hili, kutokea walijua amezikwa jumla wasubili mziki wake.
Mtu aliyewahi kumpiga kofi hadharani Waziri mkuu na Makamo wa rais mstaafu hafai kuwa kiongozi bhana, ni vile tu ccm kimekosa maadiliMakonda namuona kama mtu sahihi sana kuliko watangulizi wake tukiondoa Polepole, kazi hii anaiweza ndiyo maana Chadema wanamgwaya na hawakulitegemea hili, kutokea walijua amezikwa jumla wasubili mziki wake.