LIFE PAIN GAIN
Member
- Oct 25, 2021
- 98
- 98
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.
Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.
1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)
2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)
3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.
4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.
5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)
6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).
7: Vituo tano vya mobile money na uwakala benki wa pesa
8: Barbershop nne za kisasa
9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).
10: Ninunue ardhi kijijini nilime mpunga na niwe nauza mchele kwa jumla hadi mikoani.
11: Ninunue gari tano nifanye uber au bolt.