CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Financial Analyst kikubwa nachoomba mm ni ajira tu pale utakapoanza project
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akijaliaFinancial Analyst kikubwa nachoomba mm ni ajira tu pale utakapoanza project
SawaMungu akijalia
Nice.....Pharmacy inalipa ila ni biashara ambayo kila.mtu anaweza kuifanya na kukufanya kila siku usiwe na uhakika wa income yako.
Pharmacy Pia ina matumizi mengi sana, kwa upande wangu mimi ningeshauri upite na Idea yako no. 8
Lakini usi ifanye kama ulivyoandika "vituo saba vya uwakala mobile money" utakua unajidanganya.
Vituo 7 ukimaanisha kila kituo ukipe Mtaji wa 5M si eti? Kuna maswali ya kujiuliza
1.Ofisi unazo (kodi umelipia)?
2.Ukarabati Ndani nnje?
3.Vitendea kazi (mashine + line za uwakala)?
Hizi biashara usizichukulie poa watu wengi sana huona 5m ni hela nyingi, ukweli ni kwamba 5m ni pesa mingi kwa asie nazo lakini ni kijisent kwa vibopa.
Hivi unajua hii biashara anaweza akaja mteja mmoja tu anataka kutoa Mil 2 akaenda mishe zake akarudi baada ya lisaa li 1 akataka kutoa tena mil 1 akaondoka baaada ya 3 hrs anarudi anataka 2m
Unahisi ukiwa na ofisi ya mtaji wa 5m mteja wa namna hyo utamuweza?
Ukweli ni kwamba mkuu idea yako no.8 ni bora kwa upande wangu kama Pesa yote ikifungua OFISI 1 tu sio saba kama usemavyo.
Fungua ofisi 1 utakayoweza hudumia wateja wenye miamala mizito mizito uhakika wa 3m to 4m per month ni jambo la kawaida.
Miezi ya pesa kugusa 5M kwa mwezi ni kawaida tu BOSS lakini ili ucheze humo kwenye faida za haya maandishi yangu Atleast ucheze na capital isiyopungua 50M.
So kwa 35M utaanza biashara then utakua unaongeza mtaji up to 50M baada ya hapo anza kula Maisha.
fungua Asubuhi saa 2 kufunga saa 3Usiku Kwa mwezi 5M hiii hapa.
Make sure hukosei LOCATION usione tabu kulipia frem 1M kwa mwezi USIOGOPE yani wewe Mwanzo hakikisha una invest kupata FREM iliyo mdomoni kwa gharama zozote zile The more frem yako inakua mdomoni uhakika wakuvuka 5m kwa mwezi ni mkubwa.
Frem ikizidi kukaa mdomoni Mtaji wako ukawa stable basi Faida utazokua unapiga si za kuandika hapa.. siri zingine za Kambi tuziache tu ila nakusisitiza Mkuu kama una passion na hiyo no 8 Aseee zama mzima mzima.
Ingia kichwa miguu usiache kiungo chako nnje ya Box Biashara yenye Risk Free 91% hizi 9% hasara ni uzembe binafsi tofauti na hapo ni moja ya Biashara Zangu BORA kwa wakati wote maishani mwangu.
Assume una biashara za 50m za namna hiyo 4 kila wilaya kwa kila mkoa then kwa mikoa mikubwa yote zisambaze.
Halafu uniambie ukipata 200m utaenda kutungua Coaster uzisambaze road ufe kwa mapresha? aseee naomba niishie hapa ila mkuu chambua hiyo no.8 kimya kimyaàaa.
Ahsante mtu wangu umenifungua macho kikubwaPharmacy inalipa ila ni biashara ambayo kila.mtu anaweza kuifanya na kukufanya kila siku usiwe na uhakika wa income yako.

Ahsante pia kwa kuchukua muda kwa kudadavua kwa ukubwa..umesaidia wengiPharmacy inalipa ila ni biashara ambayo kila.mtu anaweza kuifanya na kukufanya kila siku usiwe na uhakika wa income yako.

Ile thread niliitafuta sana kipindi fulani ili nifanye reference, sikuipata , jamaa alielezea vizuri sana mambo ya mobile money na faida anayopataKuna jamaa mmoja aliwahi kuleta mgawanya wa faida anayopata kwa Mpesa, Airtel na Tigo, kila moja ilikuwa inamuingizia Tsh 300,000!
kwa zote tatu alikuwa anapata laki 9 monthly.
sasa kama ukiongeza na uwakala wa Crdb, NMB na huku unachajisha na simu mkuu utapata pesa sana.
Maeneo ya stendi zenye watu wengi sana naona ndio wanufaika wazuri.
Nakushauri uingie front ufanye utafiti sana kabla hujaingiza pesa kwenye investment.
vp hio ya mazao hujaipenda?
Ila 300,000 kwa mwezi..bado haujalipa mfanya kazi..kodi ya pango ..wewe bado..Ile thread niliitafuta sana kipindi fulani ili nifanye reference, sikuipata , jamaa alielezea vizuri sana mambo ya mobile money na faida anayopata
Mkuu kama unaikumbuka link yake , iweke hapa kwa manufaa ya wote
Pharmacy inalipa, kwa mujibu wa watu kama wa4 ambao wapo kwenye hiyo biashara.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Shida ipo hapa. Famasi ndio changamoto kubwa ipo hapo.Ila mkuu naogopa gharama ya undeshaji kumlipa pharmacist, vibali..dispenser...au mauzo ya pharmacy yanalipa kupelekea ku- cover costs za undeshaji
Nimeumia sanaHahahaa Baba, naomnba nikopeshe dawa....Dah nimekumbuka a very sad story, mwaka jana October 2020 nilikua Njombe kwa kazi fulani, sasa kuna Kijana akawa amesafiri akaniachia geto lake, nikatoka Lodge nikaenda kupunguza gharama za accomodation kwake....
Jioni moja narudi, nikasimama mahali nikanunua mahindi nitafune kidogo, aliyekua anauza ni Bibi mtu mzima sana, mara akaja binti mdogo around 10-13 yrs akasema, Bibi amekataa...... Bibi nikaona anasikitika sana kwamba angempelekea pesa yake tu akimaliza kuuza mahindi, ile story ikanigusa, nikauliza shida nini Bibi? Kasema anaumwa na alitaka panadol ameze ila ndio hivyo amenyimwa hadi apeleke pesa.
Nilihisi mwili wangu umepigwa ganzi aisee, nikavuta picha ya Marehemu Mama yangu, nikajikuta natoa buku mbili, akaenda kununua hizo panadol, nikalipia mhindi wwangu, lile jambo liliniumiza sana sana, sikupata usingizi kabisa.
Kesho jioni, nikiwa narudi nikapitia dukani nikamfanyia shopping ya vitu vya ndani, sukari, mchele, dawa za meno, sabuni, unga, mafuta na maharage, dah nikawa niko chini ya salio kidogo maana nilikua bado sijakamilishiwa cheque yangu.
MUNGU alivyo wa ajabu, kesho nikapokea cheque yangu na siku ile iliyofuata nakumbuka ilikua Jumatano asubuhi nikapigiwa simu ya tender nyingine...nikatambua yuko MUNGU juu Mbinguni anayejibu sala na maombi yetu. Siku nikirudi Njombe nitaenda kumsalimia.
Umenikumbusha mbali
Shukrani bossShida ipo hapa. Famasi ndio changamoto kubwa ipo hapo.
Ondoa wazo la pharmacy.
Weka Hardware, angalia vitu vinavyotoka anza na hivyo. Kwa kuwa mtaji sio mkubwa sana wewe cheza na mahitaji ya wateja wako chamganya umeme sementi misimari nk.
Baada ya muda uje unishukuru
Sanaaa.. haya maisha kuna watu wanahangaika zaidi ya unavyodhani na kuna watu wanapata zaidi ya unavyodhaniNimeumia sana
Sawa denzelMimi ushauri wangu yeyote atakaekufata pm usimjibu
Ahsante boy1,3,8
Moja wapo inaweza kukupa ugali na ukasomesha watoto.
Mkuu pharmacy zimeharibiwa Sana na maduka yanayouza Dawa baridi za mitaani. Dawa ambazo inabidi ziuzwe na pharmacy Kuna watu sio waaminifu kwenye hayo maduka wanaziuza pia. Kuna mengi ya kuandika unaweza kutafuta Uzi wa biashara ya pharmacy uko humu. Sio kwamba ni biashara mbovu inalipa ila jipe miaka kuanzia 3-5 uanze kuona faida nzuri.Maelezo zaidi itakuwa poa ndugu yangu..