Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.
Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.
1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)
2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)
3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.
4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.
5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)
6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).
7: Vituo tano vya mobile money na uwakala wa pesa
8: barbershop nne za kisasa
Karibuni..