Je, milioni 35 nizi-invest katika biashara ipi kati ya hizi?

Kama umeamua kufanya biashara halali kabisa. Nenda kwenye biashara ya Pharmacy...

Hakikisha unafuata masharti na vigezo vyote... utafurahia thamani ya uwekezaji wako.

Cha muhimu biashara uitegeshe sehemu muafaka
Ndugu aspirin niambie hizo sehemu muafaka tafadhali
 
Umewahi fanya biashara?
Kama hapana basi usiwwkeze hela yote kwenye biashara,
Swali la pili utasimamia mwenyewe? Kama hapana, basi waweza gawa hiyo fedha kwa ajili ya biashara na ununue heka kadhaa za shamba ufanye kilimo.
 
Vp kama nikitumbukia ninunue hata ardhi au nikodishe then nilime mpunga wa kutosha...mengine niyatunze..mengine nisambaze mwenyewe...mikoani? Hhii si itanitoa
 
Ukitaka kuingia kwenye kilimo!
Ujitahidi kupata ABCD za zao husika na usiwekeze kiasi chote,
Nakumbuka mdau mmoja humu alifanya kilimo cha nyanya morogoro kwa mara ya kwanza akakodi heka mbili na akapanda zote, nyanya zilipoiva soko lilikua baya sana na akapata hasara kubwa.Baada ya week mbili soko likawa zuri, kumbe angefanya partition na kulima kwa muda tofauti kwa kila partition zinasaidia kutoiva zote kwa pamoja.
 
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.

Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.

1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)

2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)

3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.

4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.

5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)

6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).

7: Vituo tano vya mobile money na uwakala benki wa pesa

8: Barbershop nne za kisasa

9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).

10: Ninunue ardhi kijijini nilime mpunga na niwe nauza mchele kwa jumla hadi mikoani.
Chukua hiace/daladala bosi dereva niko hapa

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mfanyabiashara serious aliyewahi kufanikiwa kwa namna hiyo, eti nina mtaji wa kiasi kadhaa nifanye biashara gani inayolipa? haijawahi kutokea ,biashara ni commitment ya muhusika na nafsi yake ,mfanyabiashara wa kweli hajitangazi eti nina mtaji wa kiasi kadhaa naanzisha biashara, mtaji, uendeshaji ,mafanikio, utajiri ni Siri ya muhusika
 
Lala wewe na uache kukooloma usiku.

Kesho ukumbuke kufuta searching history kwenye google chrome yako kwa maana imejaa xvideos na uzi wa "special thread: wanawake wakali world wide"
 
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.

Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.

1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)

2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)

3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.

4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.

5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)

6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).

7: Vituo tano vya mobile money na uwakala benki wa pesa

8: Barbershop nne za kisasa

9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).

10: Ninunue ardhi kijijini nilime mpunga na niwe nauza mchele kwa jumla hadi mikoani.
Muombe Mungu akupe wazo lako la biashara... Watu wengi hawafanikiwi kwasababu wana iga mawazo ya biashara ya watu copy and pest... Angalia all bilioneas wana vitu y unique. ... Muangalie Bill. Elon, Jeff nk
 
Lala wewe na uache kukooloma usiku.

Kesho ukumbuke kufuta searching history kwenye google chrome yako kwa maana imejaa xvideos na uzi wa "special thread: wanawake wakali world wide"
Endeleeni na ndoto hewa unamzoota
 
Zingatia location, narudia tena mkuu location,
Usiangalie tu uzuriwa jengo au gharama nafuu ya kodi,

Maana ukikosea location biashara zote hapo juu na mawazo utakayoyapata hapa ni kazi bure ...na project zinaweza ku fail kabisa..
 
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.

Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.

1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)

2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)

3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.

4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.

5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)

6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).

7: Vituo tano vya mobile money na uwakala benki wa pesa

8: Barbershop nne za kisasa

9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).

10: Ninunue ardhi kijijini nilime mpunga na niwe nauza mchele kwa jumla hadi mikoani.
We mzee toa 1M kwanza ukatulize kichwa ... Hauwezi kuwa mipango yooote hiyo tengemeza priorities na interest zako 2_4 zifanyie kazi .mawazo 10 hizo akili za Jpm
 
Back
Top Bottom