Magoli muhimu dadaMbona una kiherehere, furahieni mapenzi kwanza. Hizi stress za kuangalia magoli ndiyo zinawakosesha watoto.
Hicho kinaonyesha anayo wala haujakoseaDem wangu alianza siku zake tarehe 2 mwez wa 12,akamaliza tarehe 7,siku mbili baada ya hapo nikapiga gem kavu kavu hadi mwezi umeisha,ila akawa analalamika matiti yanamuuma balaa,anachoka choka mara chache chache na tumbo limejaa kama kavimbiwa hiv,jana kaniletea hicho kipimo kinaonesha hivo,je hii ni mimba kweli au turudie vipimo mara ya pili na ya tatu? Maana ilitakiwa azione siku zake tarehe 2 au 3 mwezi huView attachment 986391
Sent using Jamii Forums mobile app
MKuu umeingia cha kike hahahahahahaah akitoka bleed jua unatakiwa kufanya mapenzi kwa siku si chini ya 5 au nne. baada ya hapo unatakiwa kutumia kinga ndani ya week, baada ya hapo sasa ndo unakuwa huru mpaka bleed kwani bios ilikuwaje secondaryDem wangu alianza siku zake tarehe 2 mwez wa 12,akamaliza tarehe 7,siku mbili baada ya hapo nikapiga gem kavu kavu hadi mwezi umeisha,ila akawa analalamika matiti yanamuuma balaa,anachoka choka mara chache chache na tumbo limejaa kama kavimbiwa hiv,jana kaniletea hicho kipimo kinaonesha hivo,je hii ni mimba kweli au turudie vipimo mara ya pili na ya tatu? Maana ilitakiwa azione siku zake tarehe 2 au 3 mwezi huView attachment 986391
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha yani ndo unazidi kumchanganya na shule zinafunguliwa hahah😂😂Hicho kinaonyesha anayo wala haujakosea
Kama hauamini rudia tena matokeo ni hayo
Hongera baba Kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikudanganye mkuu mpe magnesium tu tumbo lipoe then subiria zako miezi 9 uone matokeoDem wangu alianza siku zake tarehe 2 mwez wa 12,akamaliza tarehe 7,siku mbili baada ya hapo nikapiga gem kavu kavu hadi mwezi umeisha,ila akawa analalamika matiti yanamuuma balaa,anachoka choka mara chache chache na tumbo limejaa kama kavimbiwa hiv,jana kaniletea hicho kipimo kinaonesha hivo,je hii ni mimba kweli au turudie vipimo mara ya pili na ya tatu? Maana ilitakiwa azione siku zake tarehe 2 au 3 mwezi huView attachment 986391
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kinaonyesha anayo wala haujakosea
Kama hauamini rudia tena matokeo ni hayo
Hongera baba Kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap,niliendeleza gem mwez mzima had huu wa kwanzamkuu anaonekana anamzunguko mrefu, so we uliendelea kushiriki nae tendo mpaka tarehe ipi ndo ukasitisha?
ka uliendelea kushiriki tendo la ndoa kwa kipindi chote cha mwezi huo wa kumi na mbili mpaka leo hii basi ujue nimjamzito kweli
Hongera mkuu
Asante sana kwa mrejesho mkuu.basi ni mjamzito mkuu
hongera zako
SawaKanunue kingine apime ukiwepo
Muda mwingine wadada tuna mambo ya ajabu ajabu sana
Really???Wasikudanganye mkuu mpe magnesium tu tumbo lipoe then subiria zako miezi 9 uone matokeoView attachment 986530
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha yani ndo unazidi kumchanganya na shule zinafunguliwa hahah[emoji23][emoji23]
DaaaahMKuu umeingia cha kike hahahahahahaah akitoka bleed jua unatakiwa kufanya mapenzi kwa siku si chini ya 5 au nne. baada ya hapo unatakiwa kutmia kinga ndani ya week, baada ya hapo sasa ndo unakuwa huru mpaka bleed kwa bios ilikuwaje sec
DadeeeeeqHicho kinaonyesha anayo wala haujakosea
Kama hauamini rudia tena matokeo ni hayo
Hongera baba Kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app