da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Dem wangu alianza siku zake tarehe 2 mwez wa 12,akamaliza tarehe 7,siku mbili baada ya hapo nikapiga gem kavu kavu hadi mwezi umeisha,ila akawa analalamika matiti yanamuuma balaa,anachoka choka mara chache chache na tumbo limejaa kama kavimbiwa hiv,jana kaniletea hicho kipimo kinaonesha hivo,je hii ni mimba kweli au turudie vipimo mara ya pili na ya tatu? Maana ilitakiwa azione siku zake tarehe 2 au 3 mwezi hu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app