Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu, ahsante kwa ushauri wako nitafanyia kazi [emoji120]Pole sana tafadhari usitengeneze madhania kwenye suala la ugonjwa unaweza kunywa dawa zikakuathiri
Kumbuka Kila mwaka watu 7000 hufariki kwa kutosoma vizuri maelekezo ya dawa na matumizi yasiyo sahihi.
Ushauri.
Nenda hospital kubwa Kisha omba kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya wanaume Kisha mueleze changamoto zako
Fanya vipimo vya magonjwa husika uone shida iko wapi.