Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

Mkuu ushauri wangu Nenda Hospitali Hata kama Ukienda Hospitali za Binafsi kapime Figo kwa vipimo vyote Serum Creatinine (sCr), BUN ,Estimated Glomerular Filtration Rate (eGFR),Albumin-to-Creatinine Ratio (ACR) na mwisho fanya Ultrasound ya KUB (Kidney,ureter and Bladder USS)..

Maana Kwa Haraka haraka Tatizo lako u alo zaidi ya Miaka 6 na Nimekuona hala Jf Kwa zaidi ya Miaka 4 ulilielezea..
sawa mkuu, ni suala la pesa ndo changamoto nitajipanga nitakwenda inshaallah
 
Back
Top Bottom