Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?

Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
865
Reaction score
1,208
Pamekua na wimbi kubwa la vijana haswa tulio katika muda wa kuchagua yupi wa kufunga nae pingu za maisha, kuhofia wanawake wanao weka style fulani fulani kwamba hawajatulia au wakorofi nk.

Ningependa kujua wewe mwenzangu unatafsiri vipi hii mitindo ya nywele.
 
Attachments

  • Em2YLnqXYAYOybg.jpeg
    Em2YLnqXYAYOybg.jpeg
    90.7 KB · Views: 12
Mm mwonekano tu wa mwanamke hunifanya niamue kumtongoza au la!!! Na huo mwonekano unahusisha nywere pia.
-Mf. Anasuka, sitamtongoza coz sitaweza kuhudumia usukaji
-Anapaka bleach, nyoa kiduku sitamtongoza coz tabia yao walio wengi n hatari kwa afya ya ndoa/mahusiano
 
Mkuu mchumi sana...basi anza kuhudhuria makanisa ya kisabato hutojutia
 
Back
Top Bottom