Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?

Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?

Nimenyoa nimeweka purple kwa mbali..Nina mahusiano mazuri yenye afya tele.

Unyoaji usukaji..uvaaji mawigi ni hobby tu ya mtu.. sidhani Kama inaendana na tabia ya mtu maana Kuna wenye nywele asili na wapo ovyo
 
Mm mwonekano tu wa mwanamke hunifanya niamue kumtongoza au la!!! Na huo mwonekano unahusisha nywere pia.
-Mf. Anasuka, sitamtongoza coz sitaweza kuhudumia usukaji
-Anapaka bleach, nyoa kiduku sitamtongoza coz tabia yao walio wengi n hatari kwa afya ya ndoa/mahusiano
Bahiri ktk ubora wake

Koo utamchukua mama gwajima
 
Duuu, Mungu anisaidie jaman maisha yenyewe haya, hata hiv natamn kuwa kwenye mahusiano ila nikikumbuka rafk zang wanavyonishuhudia naamua kukaa kmy kwanza mana nikianza kupewa za cjui naenda part, mama anaumwa, nikasuke nk mm c ntakufa mkondeano jamani.
Napenda mahusiano yawe na furaha muda wote yan mpnz wangu awe kama rafk yng hapo nahis ntakenua meno yote😆
Mkuu inabidi uumbe mtu wako,huku duniani tunanyang'anyana,after all sharing is caring
 
Pamekua na wimbi kubwa la vijana haswa tulio katika muda wa kuchagua yupi wa kufunga nae pingu za maisha, kuhofia wanawake wanao weka style fulani fulani kwamba hawajatulia au wakorofi nk.

Ningependa kujua wewe mwenzangu unatafsiri vipi hii mitindo ya nywele.
Huyo A ni kichomi, mwanamke nywele fupi na way hajawahi kuwa salama kwa matumizi ya binadamu mwenye busara.
 
Nimenyoa nimeweka purple kwa mbali..Nina mahusiano mazuri yenye afya tele.

Unyoaji usukaji..uvaaji mawigi ni hobby tu ya mtu.. sidhani Kama inaendana na tabia ya mtu maana Kuna wenye nywele asili na wapo ovyo
Wapo what?
 
Back
Top Bottom