Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Wewe kwa upande wako hapo kwenye picha unapenda style gani ?Usihukumu kitabu kwa nje
Nywele za pink, njano bluu zinakua ndefu zinabembea hadi mgongoni ushawai waona wanao vaa?. Kama umewai waona nadhani utakua umemuelewa mleta mada vizuri anachomaanisha.Usihukumu kitabu kwa nje
BWewe kwa upande wako hapo kwenye picha unapenda style gani ?
Wenyewe wanasema wana sura personal # za babaNywele za pink, njano bluu zinakua ndefu zinabembea hadi mgongoni ushawai waona wanao vaa?. Kama umewai waona nadhani utakua umemuelewa mleta mada vizuri anachomaanisha.
Kwangu mimi wigi hua naona ni ishara ya kutojiamini.
Kwa asilimia fulani..ndio...mionekana ya nje huakisi uhalisia.Lakini sio mara zote,sio kwa kila mtu,sio kila mahali na sio constant.
No wayIla mkuu unaweza peleka pisi yenye bleach home kwenu?
Ila mkuu unaweza peleka pisi yenye bleach home kwenu?
Mkuu mchumi sana...basi anza kuhudhuria makanisa ya kisabato hutojutiaMm mwonekano tu wa mwanamke hunifanya niamue kumtongoza au la!!! Na huo mwonekano unahusisha nywere pia.
-Mf. Anasuka, sitamtongoza coz sitaweza kuhudumia usukaji
-Anapaka bleach, nyoa kiduku sitamtongoza coz tabia yao walio wengi n hatari kwa afya ya ndoa/mahusiano
wa ndoa siwezi kutoa kabisa kwa mi bleachNo way
Umepatia ata hiv mm n msabato mkuuMkuu mchumi sana...basi anza kuhudhuria makanisa ya kisabato hutojutia
Duu so elite mkuuBaada ya kujiridhisha mengine sio kwa kigezo cha kuwa/kutokuwa na breach ndio nimpeke au nisimpeleke.
Kweli haujifichi mkuu kama pembe la ng'ombeUmepatia ata hiv mm n msabato mkuu
Daaa mkuu umenichekesha😆😆😆 et kama pembe la ng'ombe.Kweli haujifichi mkuu kama pembe la ng'ombe
Ila hawachelewagi kusema wanaenda kunyoa sinza 10kDaaa mkuu umenichekesha😆😆😆 et kama pembe la ng'ombe.
Ebanaee kwanini?Kanyoa kiduku juu kaweka bleach, Bro! vaa condom