Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?

Ila hawachelewagi kusema wanaenda kunyoa sinza 10k
Duuu, Mungu anisaidie jaman maisha yenyewe haya, hata hiv natamn kuwa kwenye mahusiano ila nikikumbuka rafk zang wanavyonishuhudia naamua kukaa kmy kwanza mana nikianza kupewa za cjui naenda part, mama anaumwa, nikasuke nk mm c ntakufa mkondeano jamani.
Napenda mahusiano yawe na furaha muda wote yan mpnz wangu awe kama rafk yng hapo nahis ntakenua meno yoteπŸ˜†
 
Tafuta house gal wa kwenye nyumba za kishua wallahi huta jutia unakakuta kasafi na kwasababu anakuona unawaka treatment za mume unapewa
 
Mimi tafsiri yangu ya mwanamke aliyenyoa ni:-

1. Hana mchumba
2. Kakata tamaa ya usichana labda hapendwi.

NB: watoe wamama na wasabato kwa mbaali tuwape exception
Nina mchumba tena ananipenda khatari, na wala sijakata tamaa ya usichana..!
Nimenyoa ili kupumzika na kubadili muonekano, msiwe mnaishi kwa kukariri..!
 
B&D . Tatizo la D ni hizo nyusi bandia. Asingekuwa na nyusi bandia angekuwa wife material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…