Je, Mitindo ya nywele kwa wanawake inatosha kukujulisha tabia zao?


Kwa hiyo Unavizia Wasabato sio?
 
ningependa kujua kiundani kama ifuatavyo wakuu wangu;
1- kiafro cha mbali na way na bleach
2-wa mawig na peru hair
3-wa kusuka
tupeane elimu kiasi
 
Mimi tafsiri yangu ya mwanamke aliyenyoa ni:-

1. Hana mchumba
2. Kakata tamaa ya usichana labda hapendwi.

NB: watoe wamama na wasabato kwa mbaali tuwape exception
mkuu kwanini makundi tajwa wananyoa hiyo style lakini😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…