Je mitungu ya gesi Ina expire? Na kama ni hivyo ni kwa muda gana na wapi huandikwa tarehe husika na nani anawajibika kutujuza juu Hilo?

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Tangu nitumie mitungi ya gesi sijawahi ona expire date kwenye mitungi hiyo je nani anawajibika ?


Nimeona mtu kaandika huko Instagram hivi


Hapa alimaanisha mitungi sio majiko na kama ni hivyo haya majiko yana exipiredate wapi.


Sababu kinacho lipuka ni mitungi wenye gas, nadhani labda mipira inayotumika kusafirisha gas inaweza kuwa chanzo na si majiko au mitungi?

Hasa yanapo oza na kutu
 
Kwamba gesi huwa inasafirishwa na mipira??
Wewe swali lako ni lipi hasa hebu ueleweke!
Unataka gesi iwe na expire date?
Kitu kisichochanganywa na chemical nyingine kwa maana kitu kisichochacha au kuoza kina expire vipi!
Mwisho utauliza dhahabu Ina expired date.
 
Kusemakweli mitungi ya sasa hivi hasa midogo inapitisha gas kwa juu. Ni Mungu tu atunusuru na majanga.
 
Wewe unatumia mitungi midogo ndo mana unashangaa mimi kusema mipira nenda kwa wenye mitungi mikubwa ambayo imeungwa na jiko , au njoo kwangu uone , title Iko sawa ila niliongeza point zangu binafsi , nikiuloz ikiwa Kuna expire date kama alovyoandika kwenye picha je mbona hatuzioni kwenye majiko na mitungi ?
 
Ngoja nikupuuze..
 
Tatizo bongo kumejaa mitungi ya kichina inayotengenezwa vichochoroni huko guangzoo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…