Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tangu Zama za Shauritanga ilipoteketea, wimbi la shule kuungua na kuteketea kwa moto halijawahi kukoma. Kama sio madarasa yanaungua, Basi ni mabweni.
Katika matukio haya ambayo yamekuwa yakichunguzwa kwa muda mrefu na Jeshi la polisi na zimamoto, hawajawahi kutupa chanzo hasa ni Nini, pia hawajawahi kuja na solution ya tatizo hili na Wala sijaona watuhumiwa wakipandishwa kizimbani kwa makosa haya.
Kwa kuwa wachomaji hawajawahi kujulikana, kukamatia na kuoandishwa kizimbani nadhani ile Mizimu na mashetani ambayo yamekuwa yakileta mauzauza ya wanafunzi kuzimia, kupatwa ugonjwa wa kucheka nk huenda ndio hufanya uharimia huo kwenye baadhi ya shule.
Nitaacha kuamini hivi Hadi hapo ntakapoona mabadiliko.
Moshi: Shule ya African Muslim inaungua moto