Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wanaume wenzangu mbinu hii!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana.
Fanya hivi;
Kaza mfuniko wa chupa ya chai, mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta, kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, itapendeza zaidi.