Je, mke wako hakuongeleshi?

Je, mke wako hakuongeleshi?

Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ili nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Kwa style hyo natoa taa za nyumba nzima lazma uje na magoti kuniongelesha
 
Kwa style hyo natoa taa za nyumba nzima lazma uje na magoti kuniongelesha
Hahahahaaaa. Kweli kabisa yaani hapo mnuno lazima uishe sababu giza kitu kingine bana.

Ila umeadimika? lol
 
Wanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
Dawa ya mwanamke anayenuna ni moja tu, mbembeleze basi. Mwanamke anavonuna anamaanisha nibembeleze sasa wewe na kiburi chako hutaki kubembeleza endelea kukaza mifuniko
 
Hahahahaaaa. Kweli kabisa yaani hapo mnuno lazima uishe sababu giza kitu kingine bana.

Ila umeadimika? lol
Kumbe unaogopa giza namna hyo ahaa wewe unafaa sana kutishwa usiku, Nipo sana labda njia tofaut tunapita
 
Hayo yote usifanye,kwanza tafuta sababu na itapendeza ukaitafuta kwake mkiwa chumbani. Lazima aseme.
 
Tunaogopa mkinuna sana kinywani kutatoka harufu mbaya usiku. Hiyo mbinu ni ya awali, isipofanya kazi nitaaply mbinu nyingine elfu saba
hahahaha mmmmmmm mie nanuna tuuuuuuuuuu akinikera au akinikatalia kitu lol...
 
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Na watu wafupi kwaminuno
 
Mi huwa nazimaga main switch ya umeme then utasikia mume wangu umeme hauwaki njoo kwanza ,
 
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Nakaza kwa kutumia tie rod hand Na wish born vifaa madhubuti vya kukazia, je unavijua?
 
Back
Top Bottom