Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kwa style hyo natoa taa za nyumba nzima lazma uje na magoti kuniongeleshaHahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ili nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.