Je, mke wako hakuongeleshi?

Je, mke wako hakuongeleshi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wanaume wenzangu mbinu hii!

# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana.

Fanya hivi;
Kaza mfuniko wa chupa ya chai, mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta, kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, itapendeza zaidi.
 
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
 
Wanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
ahahahaha duh una akili sana we jamaa
 
labda kama itakuwa ndoa tasa mkuu,ila kama mumebarikiwa watoto huwezi kufanya michezo hiyo ya kitoto,mke akikununia ndio kwanza wewe ongeza kumwaga mahitaji mbali mbali.
Wewe utakua muhenga bila shaka,manake umepatia sanaaaaaaaaaaaa dawa...
 
Wanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
mkuu mwanamke akiamua kununaaa hata ufunge na nati hayo makopo atafungua au atatafuta mbinu nyengine haswa kisirani kama mie,kwanza mnaweza basi bila kutusemesha? lazima uyaongee yaishe tuu..
 
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ili nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.

Mi huwa nazima main switch thyen napotea....dk chache atapiga simu mwenyewe....
 
mkuu mwanamke akiamua kununaaa hata ufunge na nati hayo makopo atafungua au atatafuta mbinu nyengine haswa kisirani kama mie,kwanza mnaweza basi bila kutusemesha? lazima uyaongee yaishe tuu..
Tunaogopa mkinuna sana kinywani kutatoka harufu mbaya usiku. Hiyo mbinu ni ya awali, isipofanya kazi nitaaply mbinu nyingine elfu saba
 
Back
Top Bottom