Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unawajua wanawake wenye gubu? Mwaga mahitaji yako, anawagawia majirani.labda kama itakuwa ndoa tasa mkuu,ila kama mumebarikiwa watoto huwezi kufanya michezo hiyo ya kitoto,mke akikununia ndio kwanza wewe ongeza kumwaga mahitaji mbali mbali.
ndoa zetu hizi zinashida mbali mbali ila ukija kufikiria watoto inabidi maswala mengine uwe mnyenyekevu wewe tu hakuna namna.Unawajua wanawake wenye gubu? Mwaga mahitaji yako, anawagawia majirani.
ahahahaha duh una akili sana we jamaaWanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
hamkosi jamboSi ukifungua nauchuna tena....
Si Nafunga tena!Si ukifungua nauchuna tena....
Wewe utakua muhenga bila shaka,manake umepatia sanaaaaaaaaaaaa dawa...labda kama itakuwa ndoa tasa mkuu,ila kama mumebarikiwa watoto huwezi kufanya michezo hiyo ya kitoto,mke akikununia ndio kwanza wewe ongeza kumwaga mahitaji mbali mbali.
mkuu mwanamke akiamua kununaaa hata ufunge na nati hayo makopo atafungua au atatafuta mbinu nyengine haswa kisirani kama mie,kwanza mnaweza basi bila kutusemesha? lazima uyaongee yaishe tuu..Wanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ili nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Solution ni kumkaza alienunaSi Nafunga tena!
Ni kweli, ilakuna gubu mbaya sijapata ona,...Solution ni kumkaza alienuna
Hahahaaa. Hivyo mnuno unakuwa umekwisha. lolMi huwa nazima main switch thyen napotea....dk chache atapiga simu mwenyewe....
Tunaogopa mkinuna sana kinywani kutatoka harufu mbaya usiku. Hiyo mbinu ni ya awali, isipofanya kazi nitaaply mbinu nyingine elfu sabamkuu mwanamke akiamua kununaaa hata ufunge na nati hayo makopo atafungua au atatafuta mbinu nyengine haswa kisirani kama mie,kwanza mnaweza basi bila kutusemesha? lazima uyaongee yaishe tuu..