Kwa style hyo natoa taa za nyumba nzima lazma uje na magoti kuniongeleshaHahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ili nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Huyo bodaboda akija nitamwambia akalete vyeti, amesomea wapi ufundi thermos?Mmmh Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Hahaaaa.. Sasa hapo ndio ugomvi wenyewe. Nakufa na bodabodaMmmh Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Hahahahaaaa. Kweli kabisa yaani hapo mnuno lazima uishe sababu giza kitu kingine bana.Kwa style hyo natoa taa za nyumba nzima lazma uje na magoti kuniongelesha
Dawa ya mwanamke anayenuna ni moja tu, mbembeleze basi. Mwanamke anavonuna anamaanisha nibembeleze sasa wewe na kiburi chako hutaki kubembeleza endelea kukaza mifunikoWanaume wenzangu mbinu hii!!
# Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana , fanya hivi
Kaza mfuniko wa chupa ya chai , mfuniko wa kopo la chumvi, mfuniko wa kopo la mafuta,kaza na ndoo zote za maji, muda si mrefu atakuita na kukuomba umsaidie kufungua, hapo lazima aongee na wewe, iItapendeza Zaidi
sasa kama mke ni electrical engineer na alihusika kuchora mchoro wa wiring hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Mi huwa nazima main switch thyen napotea....dk chache atapiga simu mwenyewe....
Ilaa ndoaa ngumu jaman hasaa palee MTU anapokununiaa hata bila sababu.ndoa zetu hizi zinashida mbali mbali ila ukija kufikiria watoto inabidi maswala mengine uwe mnyenyekevu wewe tu hakuna namna.
Kumbe unaogopa giza namna hyo ahaa wewe unafaa sana kutishwa usiku, Nipo sana labda njia tofaut tunapitaHahahahaaaa. Kweli kabisa yaani hapo mnuno lazima uishe sababu giza kitu kingine bana.
Ila umeadimika? lol
hahahaha mmmmmmm mie nanuna tuuuuuuuuuu akinikera au akinikatalia kitu lol...Tunaogopa mkinuna sana kinywani kutatoka harufu mbaya usiku. Hiyo mbinu ni ya awali, isipofanya kazi nitaaply mbinu nyingine elfu saba
salalehhhhahahaha mmmmmmm mie nanuna tuuuuuuuuuu akinikera au akinikatalia kitu lol...
Na watu wafupi kwaminunoHahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Hahahaaa. Sio wote Mkuu.Na watu wafupi kwaminuno
naagiza washkaji waje kutuibia vitu vya ndan pamoja na dressng table,Nikiamua kununa hata km Kuna nyoka ,,sikuombi msaada
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Mmmh! Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Nakaza kwa kutumia tie rod hand Na wish born vifaa madhubuti vya kukazia, je unavijua?Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.