Hahahahaaa hapo sawa kabisa. Ila inabaki kuwa siri ya ndani.Basi ntakubembeleza sweet heart, Ila machozi yakinitoka wakati wa kukubembeleza usiende kuwasimulia kibarazani maana nao watatamani, watataka niwabembeleze hadi machozi yanitoke tena
Nimekupata chaufupi wa moyo wanguHahahahaaa hapo sawa kabisa. Ila inabaki kuwa siri ya ndani.
Hahaaaa,,,nikitoa nanihii tukimaliza naendelea kununanaagiza washkaji waje kutuibia vitu vya ndan pamoja na dressng table,
alafu mi najifanya nimelala fofo.
LAZIMA UNIAMSHE
Alafu nikiamka wale jamaa wataomba msamaha na kukimbia hahahah
najua lazima utoe naniliuuu
[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahaaaa,,,nikitoa nanihii tukimaliza naendelea kununa