Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahahaaa hapo sawa kabisa. Ila inabaki kuwa siri ya ndani.Basi ntakubembeleza sweet heart, Ila machozi yakinitoka wakati wa kukubembeleza usiende kuwasimulia kibarazani maana nao watatamani, watataka niwabembeleze hadi machozi yanitoke tena