mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ndio nimetoka kusali JUMUIYA saizi, mara nakutana na mjadala huu tena wa dhambi mpya mpya...
By the way, ukiona hivyo basi tambua kwamba haumguzi mkeo (haumsugui mjisimi huo) kama inavyo takiwa.
Lakufanya sasa, tafuta position ambayo utakua ukimkunja lazima umsugue wewe na sio yeye ajisugue tena.
Lakini..... mbona sioni kama nisawa hapa tukijadili mjisimi wa mkeo...🤔
TUMSIFU YESU KRISTU
Ukafanye ungamo la dhambi ukisema
"...NIMEKOSA SANA MIMI, KWA MAWAZO, KWA MANENO NA MATENDO; NDIO MAANA NAKUUNGAMIA MUNGU MWENYEZI"
🤣🤣