Je, mke wangu ana tabia ya kujichua?


TUMSIFU YESU KRISTU
Ukafanye ungamo la dhambi ukisema
"...NIMEKOSA SANA MIMI, KWA MAWAZO, KWA MANENO NA MATENDO; NDIO MAANA NAKUUNGAMIA MUNGU MWENYEZI"
🤣🤣
 
Ukifuatilia story za wanaume wengi hawajui Hilo zoezi..
 
jamaa anazingua. Anataka mpaka ashikishwe mkono ndio aelewe anatakiwa kufanya nini.

Wazee wa zamani walikuwa na busara sana kuweka mafunzo ya jandoni. Hivi vizazi vya Nickoledeon kila kitu kwao ni changamoto.

Vizazi vya Nickelodeon 🤣
 
Una hoja!Watu hawajui kusoma body language....wengine hawasemi Kwa midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…