princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
-
- #41
jamaniNi kweli.Ila iwe haja kubwa ya asubuhi baada ya kuamka.
Basi mama terry angetuambia enzi zile Radio one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkojo ndio
kuna wakati akili pekee haiwezi kusahau lazima msaada
[emoji23][emoji23]fanyeni masihara tu..Basi mama terry angetuambia enzi zile Radio one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hayajakukutaWanawake ipo siku watakula mpaka mavi
Kuna group watu wazima wanahimizana kunywa kojo...
Pyeeee
cwez aseewa kwako
yalaaaaaa haja kubwa tena [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Du nasikia ukichanga na ajakubwa unasau mbaka jina lako
mkaona masihara[emoji23]Nakumbuka kuna matron aliwahi kumwambia mwanafunzi mwenzetu anywe mkojo eti utasaidia kupunguza maumivu ya jino.
Yaani siku hiyo tulicheka mpaka basi
Ukiwa na Shida yoyote iletutajie basi maana kuna watu wanateseka
Sijawah sikia hii kwa kwelikwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
wenye masikio wasikieSijawah sikia hii kwa kweli
DuuhDu nasikia ukichanga na ajakubwa unasau mbaka jina lako
Kwa inavoonekana ushaifanya hii kitu na imefanya kazi.[emoji23][emoji23]fanyeni masihara tu..
siku mkitendwa mtakuja kutafuta hii mada
Weye yashakukuta eti?hayajakukuta
Mkojo Fulani hivi ameizing kinoma, mzitoo full kujaa Nazi, pweza, maziwa ya ngamia, karanga mbichi na juice ya tende a.k a shurbatHabari jamani,
Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!
Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
mimi nshawasahau[emoji23]Yaani mwanamume kamtupa kule Princess Ariana, then Ariana akojoe kwenye kikombe na aunywe huku akinuizia kwamba nataka nimsahau huyu mwanaume, then kesho Ariana aamke akiwa kamsahau kabisa yule jamaa!?
Thubutuu. Unaweza kunywa ndoo nzima ya mkojo na ukiamka asubuhi stress zipo palepale.