Je, mkojo huondoa stress za mapenzi tu?

Je, mkojo huondoa stress za mapenzi tu?

Nakumbuka kuna matron aliwahi kumwambia mwanafunzi mwenzetu anywe mkojo eti utasaidia kupunguza maumivu ya jino.
Yaani siku hiyo tulicheka mpaka basi
 
Nakumbuka kuna matron aliwahi kumwambia mwanafunzi mwenzetu anywe mkojo eti utasaidia kupunguza maumivu ya jino.
Yaani siku hiyo tulicheka mpaka basi
mkaona masihara[emoji23]
halafu nasikia boarding school mlisoma mlijionea mambo..
kama.mafuta ya taa kwenye chakula
 
kwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
Sijawah sikia hii kwa kweli
 
Jaman basi wenye stress za hivo wajaribu kunywa mkojo huku wakinuiza kama inavoelezwa then watuletee mrejesho
 
Na mimi najiuliza kitu nimekuwa nikisoma kila leo kwenye page ya usipojipanga kojo kojo eti linasaidia kusaidia kumsahau unaempenda na yeye kukupenda zaid sasa najiuliza kojo lina ingiliana vip na mapenz ya watu sio sir mimi siamin hii kitu kabisa
 
Yaani mwanamume kamtupa kule Princess Ariana, then Ariana akojoe kwenye kikombe na aunywe huku akinuizia kwamba nataka nimsahau huyu mwanaume, then kesho Ariana aamke akiwa kamsahau kabisa yule jamaa!?

Thubutuu. Unaweza kunywa ndoo nzima ya mkojo na ukiamka asubuhi stress zipo palepale.
 
Habari jamani,

Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!

Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
Mkojo Fulani hivi ameizing kinoma, mzitoo full kujaa Nazi, pweza, maziwa ya ngamia, karanga mbichi na juice ya tende a.k a shurbat
 
Yaani mwanamume kamtupa kule Princess Ariana, then Ariana akojoe kwenye kikombe na aunywe huku akinuizia kwamba nataka nimsahau huyu mwanaume, then kesho Ariana aamke akiwa kamsahau kabisa yule jamaa!?

Thubutuu. Unaweza kunywa ndoo nzima ya mkojo na ukiamka asubuhi stress zipo palepale.
mimi nshawasahau[emoji23]
 
Mmh Tanzania tuna tafiti nyingi sana, huo mkojo unatumiaje naombeni msaada niwe naupiga kila siku asubuhi
 
Back
Top Bottom