Abdul mndili
Senior Member
- Oct 15, 2016
- 192
- 137
Labda una uzungumzia mkojo upi[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah malkia wangu Ariana upo?serious?
Mkojo wako hauwezi kuzuia Stress au kutibu Stress kuna dawa za kumfanya mtu amsahau yule mama yake au mpenzi au mume wake aliye fariki na ukamsahau muda mchache mimi ninazijuwa. mkojo wako unatibu maradhi mengi ila masharti ya mkojo wako unatakiwa uende kwanza kupima Hospitali ili kuhakikisha mkojo wako upo safi na hauna maradhi yoyote ya kuambukiza ndio waweza kunywa huo mkojo wako tena ni Mkojo wa asubuhi pale unapo amka kabla ya kunywa au kula kitu.Habari jamani,
Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!
Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
mkojo wako binafsiLabda una uzungumzia mkojo upi[emoji6]
tutajie basi maana kuna watu wanatesekaMkojo wako hauwezi kuzuia Stress au kutibu Stress kuna dawa za kumfanya mtu amsahau yule mama yake au mpenzi au mume wake aliye fariki na ukamsahau muda mchache mimi ninazijuwa. mkojo wako unatibu maradhi mengi ila masharti ya mkojo wako unatakiwa uende kwanza kupima Hospitali ili kuhakikisha mkojo wako upo safi na hauna maradhi yoyote ya kuambukiza ndio waweza kunywa huo mkojo wako tena ni Mkojo wa asubuhi pale unapo amka kabla ya kunywa au kula kitu.
HAYA NDIO MARADHI YANAYOWEZA KUTIBIWA NA MKOJO WAKO MWENYEWE UKINYWA
Urine Therapy Testimonials
Parkinson's Lung Cancer Stage 4, Breast Cancer Stage 3, Ovarian Cancer,
Emphysema Colon Cancer, Breast Lumps, Prostate Cancer,
Hepatitis C, Fibroid Tumor, Multiple Sclerosis, Cystitis, bladder infection,
Epilepsy, Consumption Fever, baby with High fever, undiagnosed,
Allergies, Enlarged Prostate, Food Poisoning, Antibiotic resistant COLITIS,
Asthma, Lyme Disease, Parasites, Amebas Auto-intoxication,
Influenza, Kidney Stones, Heart Burn, Tooth Abscess,
Gangrene, Rectal Bleeding, AIDS-1 AIDS-2, Brain Tumor inoperable,
Rosacea, Liver Disease, Malaria, Dysentery, Low back pain, very severe.
Uropathy, Prostate Cancer, Salt Deficiency, Universal Remedy, Breast Cancer.
Ni kweli.Ila iwe haja kubwa ya asubuhi baada ya kuamka.Du nasikia ukichanga na ajakubwa unasau mbaka jina lako
wa kwakomkojo unaunywa? wa mwenzio au wako?
Umeona enh!!hakuna sayansi hapoWe mtoto wa mganga?
[emoji3][emoji3] IKO NAMNA HAPAkwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
[emoji23][emoji23] shauri yako[emoji3][emoji3] IKO NAMNA HAPA
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja tusubiri alie achika atupe uzoefu[emoji23][emoji23] shauri yako
ukiachwa siku utajua faida ya mkojo[emoji23]
sio kila kitu ukanunue dukani
Hahahhaha mkuu umeuaDu nasikia ukichanga na ajakubwa unasau mbaka jina lako
mkojo ndioMimi najua kusahau ni mentality saaa mkojo tena