Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hiyo chenji ni sh ngapi? Isije ikawa imetumika bil 300 tu.darasa moja halijawai maliza m35...haya yalipangiwa m 20 na chenji nadhani imebaki
Hivi yule bilionea wa Tanzanite (yule mmasai) alijenga shule nzima kwa sh ngapi vile??darasa moja halijawai maliza m35...haya yalipangiwa m 20 na chenji nadhani imebaki
Shule nzima alitumia Mil 466Hivi yule bilionea wa Tanzanite (yule mmasai) alijenga shule nzima kwa sh ngapi vile??
Duh, sio tuhamie Burundi?MKIONA HAMUELEWI YANAYOENDELEA NCHINI KWENU HAMENI, Tena hamieni Congo!.
Darasa la milioni 20 lina ukubwa gani?darasa moja halijawai maliza m35...haya yalipangiwa m 20 na chenji nadhani imebaki
Inasikitisha.Ukaguzi utafanyika vipi wakati anayetakiwa kuamuru ukaguzi kesha ufyata mkia............nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana....
Acha kuuliza maswali ya kitoto.Darasa la milioni 20 lina ukubwa gani?