Je mnakumbuka sarakasi za Rajolina wa Madagasca kabla hajaikimbia nchi!?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Pale Madagasca Bwana Rajolina alichaguliwa, akaapa, akateua Waziri Mkuu na baraza lake la mawaziri.

Kabla hata mwaka haujaisha akafukuza Waziri Mkuu wake na kuteua mwanajeshi kuwa Waziri Mkuu mara baada ya muda akalalamika kuwa wanajeshi wanataka kumuua!

Mara hili mara lile akatangaza kulihutubia taifa mara akaonekana yuko Ufaransa huku Jeshi likichukua nchi.

Ikivuma sana Iko mbioni kupasuka.
 
Hii naiona ikiwa Rajotanganyika🤸
 
Soon and very soon we are going to sing " Hallelujah".... No more dying...
 
Hayo mambo wanayaweza watu wa west afrika na waafrika wenye rangi nyeupe tu
 
Sio kwa Wabongo Mkuu.
Wabongo kwanza ni watu wa pupa.
Kurukia matukio.
Kukimbizana na upepo wasioujua unatokea wapi.

Kufanya hayo inahitaji watu wenye utulivu sana na wanaojua mipango. Wavumilivu.
 
Back
Top Bottom