GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni.
Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani haiwezekani Visionary and Rational Thinker Mimi wa Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) hamnituku na mnawatunuku Wengine kwa Kuimarisha Biashara na Utalii wakati kwa sasa Wafanyabishara wanalia, Maisha ni magumu, Uchumi haueleweki na Watalii wengi wanakimbilia nchi za Kenya, Rwanda na Afrika Kusini.
Next time nami nipeni yangu sawa?