Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika Wao hawanianzi Vibaya? Acha Unafiki na Usinikere na Wewe pia sawa?Mkuu genta kwann unajibu watu vbaya?
GENTAMYCINE
Soma tu.Nasoma comments
Milioni 1.ana ID nyingi sana.
Damn Fool.wewe mnyarwanda una majibu ya hovyoo sanaa.
funga ndoa na faiza foxy mnaendana.
Hamna mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika Wao hawanianzi Vibaya? Acha Unafiki na Usinikere na Wewe pia sawa?
Siku zote Wapumbavu wengi hapa huwa mnaona tu Majibu yangu kwa Maadui zangu ila Wao wanaponianza si tu huwa mnajifanya hamuoni bali pia huwa mnafurahia wanachonifanyia.
Sera yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 haijawahi kubadilika ambao Ukijaa tu katika Frame ( 18 ) yangu na Kutishia Kujamba basi Mimi Nakunya kabisa.
Niheshimu ili nami Nikuheshimu ila ukijifanya Wewe ni Mjanja wa Bush basi Mimi nakuonyesha kuwa siyo tu ni Msela, Mtoto wa Mjini bali pia ni Muhuni vile vile japo nina Ustaarabu Uliotukuka na Roho Nzuri isiyo na Mashaka ambayo Wengi wanaonijua wataweza Kulishuhudia.
Nimemaliza.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Wanasema Pia Ndogo iko wazi kamanda.
Wanakuonea Sana Papa Fransi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tayari una PhD ya upopoma. Inakutosha hiyo hiyo.
Kwanini ukiwa unaandika unakuwa unafafanua sana mpaka lugha ya kiswahili inakuwa ngumu kwako kwa nini usiende moja kwa moja Genta the PHD ya kuombaUna uhakika Wao hawanianzi Vibaya? Acha Unafiki na Usinikere na Wewe pia sawa?
Siku zote Wapumbavu wengi hapa huwa mnaona tu Majibu yangu kwa Maadui zangu ila Wao wanaponianza si tu huwa mnajifanya hamuoni bali pia huwa mnafurahia wanachonifanyia.
Sera yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 haijawahi kubadilika ambao Ukijaa tu katika Frame ( 18 ) yangu na Kutishia Kujamba basi Mimi Nakunya kabisa.
Niheshimu ili nami Nikuheshimu ila ukijifanya Wewe ni Mjanja wa Bush basi Mimi nakuonyesha kuwa siyo tu ni Msela, Mtoto wa Mjini bali pia ni Muhuni vile vile japo nina Ustaarabu Uliotukuka na Roho Nzuri isiyo na Mashaka ambayo Wengi wanaonijua wataweza Kulishuhudia.
Nimemaliza.
Form 2Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni.
Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani haiwezekani Visionary and Rational Thinker Mimi wa Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) hamnituku na mnawatunuku Wengine kwa Kuimarisha Biashara na Utalii wakati kwa sasa Wafanyabishara wanalia, Maisha ni magumu, Uchumi haueleweki na Watalii wengi wanakimbilia nchi za Kenya, Rwanda na Afrika Kusini.
Next time nami nipeni yangu sawa?