GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Usalama wa nyoko......Naskia Kawe wanakuita Usalama.
TISS ( USALAMA WA TAIFA ) wakiwa Mtu kama Mimi NITAWADHARAU mno kwakuwa sina hata tu 1% ya Qualifications zao kama Candidate.Usalama wa nyoko......
Usalama wa Vijiweni akiwa anagonea Visungura.Usalama wa nyoko......
Kalewa 🤣🤣Mkuu genta kwann unajibu watu vbaya?
Honorary ya Charistimatic na entertainer mbona anayo Dr Gentamycin 😅😅
Mkuu Genta amelewa umaarufu.Kalewa 🤣🤣
Tunakutunu cheti cha mgonjwa pale MirembeKuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni.
Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani haiwezekani Visionary and Rational Thinker Mimi wa Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) hamnituku na mnawatunuku Wengine kwa Kuimarisha Biashara na Utalii wakati kwa sasa Wafanyabishara wanalia, Maisha ni magumu, Uchumi haueleweki na Watalii wengi wanakimbilia nchi za Kenya, Rwanda na Afrika Kusini.
Next time nami nipeni yangu sawa?
[emoji3][emoji3]Honorary ya Charistimatic na entertainer mbona anayo Dr Gentamycin [emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28]Ila thread za jamaa.
Post ya kwanza imetulia nyingine zote kwa page zinazofuata ni matusi tu.