Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

Mkuu genta kwann unajibu watu vbaya?
Una uhakika Wao hawanianzi Vibaya? Acha Unafiki na Usinikere na Wewe pia sawa?

Siku zote Wapumbavu wengi hapa huwa mnaona tu Majibu yangu kwa Maadui zangu ila Wao wanaponianza si tu huwa mnajifanya hamuoni bali pia huwa mnafurahia wanachonifanyia.

Sera yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 haijawahi kubadilika ambao Ukijaa tu katika Frame ( 18 ) yangu na Kutishia Kujamba basi Mimi Nakunya kabisa.

Niheshimu ili nami Nikuheshimu ila ukijifanya Wewe ni Mjanja wa Bush basi Mimi nakuonyesha kuwa siyo tu ni Msela, Mtoto wa Mjini bali pia ni Muhuni vile vile japo nina Ustaarabu Uliotukuka na Roho Nzuri isiyo na Mashaka ambayo Wengi wanaonijua wataweza Kulishuhudia.

Nimemaliza.
 
Hamna mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini ukiwa unaandika unakuwa unafafanua sana mpaka lugha ya kiswahili inakuwa ngumu kwako kwa nini usiende moja kwa moja Genta the PHD ya kuomba
 
Form 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…