Je, Mourinho kutimuliwa kesho?

Je, Mourinho kutimuliwa kesho?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015.

It’s December 17th tomorrow.
 
NaOmba mtuachie Mourinho wetu,bado tuna imani na yeye.
 
José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015.

It’s December 17th tomorrow.
Wakimtimua wakati huu, atalamba fidia mamiliion ya Pound za Mwingereza. Lakini mkataba utambana mwisho wa msimu kama Man U haitaingia top four, watamwondoa kwa fedha kiduchu. Nadhani wanasubiri mwisho wa msimu, huku wakitafuta mbadala wake kimya kimya.
 
Aaah na kwa points lazima afanye kazi ya ziada na team pogba watamuhujumu sana asifanikiwe
 
kwanini iwe Mou tu hivi hamumuoni Lukaku ni mtumishi hewa na mkitambi wake kama chama twawala
 
Back
Top Bottom