Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015.
It’s December 17th tomorrow.
It’s December 17th tomorrow.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Aondoke huyo mropokaji
😁😁😁😁asee wabongo noma ushilawadu mpaka urope😀😀😀😀
Sidhani,mkataba wake ni very expensive,nahisi watasubiri ikionekana hatufikishi Uefa then watatengua vipengele kadha ndio wavunjeJosé Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015.
It’s December 17th tomorrow.
Wenger ahamia United,watapata tabu sanaHuyo mnae wa kufa na kuzikana
Haendi na wakati,game ya jana angeamua kucheza United wangepata matokeo sasa upuuzi sana kujilinda bila sababu na lazima uadhibiweMorinho hana uwezo
😁😁Mkuu unaunga mkono timu yako kuwa na sungusungu tu Kila mechi?NaOmba mtuachie Mourinho wetu,bado tuna imani na yeye.
Wakimtimua wakati huu, atalamba fidia mamiliion ya Pound za Mwingereza. Lakini mkataba utambana mwisho wa msimu kama Man U haitaingia top four, watamwondoa kwa fedha kiduchu. Nadhani wanasubiri mwisho wa msimu, huku wakitafuta mbadala wake kimya kimya.José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015.
It’s December 17th tomorrow.
Aaah na kwa points lazima afanye kazi ya ziada na team pogba watamuhujumu sana asifanikiweWakimtimua wakati huu, atalamba fidia mamiliion ya Pound za Mwingereza. Lakini mkataba utambana mwisho wa msimu kama Man U haitaingia top four, watamwondoa kwa fedha kiduchu. Nadhani wanasubiri mwisho wa msimu, huku wakitafuta mbadala wake kimya kimya.
😁😁Mkuu unaunga mkono timu yako kuwa na sungusungu tu Kila mechi?
atwachie team tu huyo imeshamshinda kitambo sanaMorinho hana uwezo
Nenda kanywe nae chai kama unampenda mkuu.NaOmba mtuachie Mourinho wetu,bado tuna imani na yeye.